MKUU WA MKOA TABORA AGGREY MWANRI ALIVYOWASHA MOTO BAADA YA KUTORIDHISHWA NA UJENZI Scarica

Invia ai tuoi amici
Aggiungi
 • 9 nov 2018

 • Halmashauri ya wilaya ya UYUI mkoani Tabora imetakiwa kukamilisha miradi ya elimu na afya ndani ya mwezi mmoja Rais John Pombe Magufuli aliichangia kiasi cha fedha ikiwa ni kuunga mkono ili miradi hiyo iweze kukamilika haraka.

Commenti

 • Tegez Domin
  Tegez Domin 1 anno fa

  Safi sana wakiboroga wakatwe mishahara,kazi ya serikali iheshimiwe

 • Official BlackoTz
  Official BlackoTz 1 anno fa

  Hahahaha kwel tabora mmepatikana!!!

 • Sudy Mgeni
  Sudy Mgeni 1 anno fa

  Duh kweli mmepatiwa mtakatwa sana kwa uyo baba

 • Mohammed Said
  Mohammed Said 1 anno fa

  piga kazi mzee baba hadi wanyooke

 • RAJ MKONJE
  RAJ MKONJE 1 anno fa

  Gai nimekua wa kwanza

 • Abel Daniel
  Abel Daniel 1 anno fa

  ENG; UKO SAHIHI BIG , HIYO NI SITE TESTING!

 • Luther King
  Luther King 1 anno fa

  Viongz wanaotakiwa awa siyo unaka tu ofcn

 • Simon Daniel
  Simon Daniel 1 anno fa

  daaa hahahhaa kwel Kama n CCM nmempenda huyu mkuu bas

 • Abel Daniel
  Abel Daniel 1 anno fa

  UKO SAHIHI ENG ( SITE TESTING OF BLOCKS)

 • magodi ze doni iJulius

  Di

 • emmanuel haule
  emmanuel haule 1 anno fa

  Wapenda.katika.bwana.mungu.yupamoja.nasi.sikuzote.za.uhai.wetu

 • Richard Buhatwa
  Richard Buhatwa 1 anno fa

  Ngonjera

 • Freddy Mello
  Freddy Mello 1 anno fa

  Tuko pamoja Mh.Agrey mwanri,watumikie wanatabora .maendeleo ya Mkoa huu yalilala sana.

 • Selemani Masatu
  Selemani Masatu 1 anno fa

  Waandishi wengi na watu wengi jina la huyu jamaa linawwpa shida kulitaja kama lilivyo, fuatilie kwa makini mtaona.

 • Biseko C.K. Jenjela

  Safi sana

 • tausi beauty tausi beauty

  😂😂😂😂😂😂 kazi kazi

 • Edson Kasano
  Edson Kasano 1 anno fa

  Bongo movis

 • Kitoki Sospeter
  Kitoki Sospeter 1 anno fa

  Hawa ndio viongozi tunaowataka katika awamu hii ya hapa kazi tu. Ubabaishaji na upigwaji wa pesa za miradi umeisha. lakini bado watu hamtaki kubadilika. Kweli mtapata taabu sana, na mtasukumwa ndani sana. Hongera sana mkuu wa Mkoa Tabora. Kazi zako zinaonekana hakika. Nadhani umemwelewa mkuu wa kaya vizuri. Piga kazi baba, walizoa kutumbua pesa za miradi bila huruma.

 • lufufu mkandala
  lufufu mkandala 1 anno fa

  uyu jamaa akiwa rais tunalo hhhhhhhh

 • Shukuru Kihwelo
  Shukuru Kihwelo 1 anno fa

  Nakupenda sana mkuu . Mh ,Rais urishuudia urasimu wa mji wa njombe Tunakuomba chonde utipe huyu mh mwanri ajee ili nasisi tuboreshe maendereo ya mkoa wetu